GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,281
- 6,696
Ni hivi, wiki tatu zilizopita Jamaa mmoja anaitwa SEMPAY Dadi kama nimekosea hapo kwenye Sempai nirekebisheni, alituanzishia mazoezi, Tatizo ni kwamba aina yenyewe ya mazoezi ni kana kwamba tunajiandaa kupigana na ndovu na si SELF DEFENCE, TULIKUWA WATU 25,
Siku ya kwanza tu tumeanza kupiga Push up kwenye kokoto, kila mmoja ametoka hapo anavuja damu kwenye mikono tena pushup 50, siku ya pili tumerudi watu 15 tu wengi siku ya pili ndo ilikuwa balaa yaani hayo mazoezi si mchezo wakapungua tena watu 5 tukabaki 10.
Siku iliyofuata tulifanya mazoezi mpaka mmoja akajinyea, tukaambiwa tujiandae kwani kesho tutapiga pushup kwenye mchanga wa moto, Hiyo siku hakutokea mtu na ndio ulikuwa mwisho wa darasa, Binafsi bado sijakata tamaa ingawa si kwa mtindo ule tena. Ndiyo nimekuja kwenu wadau naomba kufahamishwa wapi kuna darasa zuri ambalo linafundisha kwa taratibu za kueleweka.