Natafuta daktari bingwa

I

Ivilikinge

Member
Joined
Jun 15, 2009
Messages
29
Likes
1
Points
0
I

Ivilikinge

Member
Joined Jun 15, 2009
29 1 0
Habari wana jamii forum mimi natafuta daktari bingwa hapa dar wa magonjwa ya zinaa maana naumwa sana na nimetibiwa siponi nimepima kila kitu mpaka ngoma sasa naona labda nianze na dr mpya na ujuzi mpya naombeni msaada gharama sio shida ntalipa
email yangu:bulongwa@yahoo.com
 
K

Kabonde

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2008
Messages
421
Likes
8
Points
0
K

Kabonde

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2008
421 8 0
Tafadhali fafanua huo ugonjwa zinaa ulionao ili usaidiwe,umekaa nao muda gani ?,uliupatapaje and so on.
 
M

mubi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2010
Messages
332
Likes
45
Points
45
M

mubi

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2010
332 45 45
Tutumie, vipimo vyako ulivyopima kwa madaktari huko, vipimo vya ngoma, gono, syphilis,na blood test yote nk. Tukusaidie dawa bure tu kwako.
 
I

Ivilikinge

Member
Joined
Jun 15, 2009
Messages
29
Likes
1
Points
0
I

Ivilikinge

Member
Joined Jun 15, 2009
29 1 0
Ngoma negative,sina syphilis wala gono ila nimeambiwa ni herpes simplex cjui nimetumia sana acyclovir tabs and cream lakini hakuna kitu,nimekaa nao miaka miwili nahisi niliupata through sex,mimepima sehemu kama mia kaka na vikatasi vingi vimepotea sasa kusema nikupe majibu ningumu haya naombeni msaada wenu jamani
 
I

Ivilikinge

Member
Joined
Jun 15, 2009
Messages
29
Likes
1
Points
0
I

Ivilikinge

Member
Joined Jun 15, 2009
29 1 0
na kuna dr.mmoja alikuwa muhimbili ndio aliyeniambia hii ni viral infection sasa nikaenda kupima sasa si unajua usumbufu wa muhimbili mara nikapata safari ya kikazi nimerudi kuchukua majibu namtafuta yule dr simpati hewani naambia kaenda Russia kusoma nikadata nikaaza upya tena lakini bado naweza kukaa hadi miezi 4 fresh ila kama sahivi hali ni mbaya sana hata job naenda kwasababu ya njaa zangu,nafakirai sijui nikaombewe ua kama kuna mtu anajua hawaalamu wa dawa za mitishamba waniambie jamani please ndugu yenu nateseka sana
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
150
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 150 160
Ok....
Una umri gani
unaweza kukumbuka lini uliambukizwa
umeshaambukiza wangapi na wewe?
Nenda kule department ya microbiology na immunology bugando au muhimbili vyuoni (sio hospitali upate msaada.... kwa maelezo zaidi PM

chunga sana usiambukize wengine kwani huhitaji kutesa wengine
 
Next Level

Next Level

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2008
Messages
3,158
Likes
22
Points
135
Next Level

Next Level

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2008
3,158 22 135
Pole sana mzee....!

Nakutumia PM sasa hivi...kuna baadhi ya madaktari nawafahamu pale Muhimbili ....Tumaini, Regency ni wataalamu wa mambo ya urology ni vitu kama hivyo! Just go and see them, ila tu wako expensive kidogo.....!
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
Ngoma negative,sina syphilis wala gono ila nimeambiwa ni herpes simplex cjui nimetumia sana acyclovir tabs and cream lakini hakuna kitu,nimekaa nao miaka miwili nahisi niliupata through sex,mimepima sehemu kama mia kaka na vikatasi vingi vimepotea sasa kusema nikupe majibu ningumu haya naombeni msaada wenu jamani
Pole sana!

Chamuhimu usiendelee kufanya ngono nzembe bila kinga maana utaambukiza wengine. Thats is viral infection, caused by both herpes simplex virus 1 (HSV-1) and herpes simplex virus 2 (HSV-2) hizi aina hupelekea different conditions such as Herpes genitalis ama Eczema herpeticum ukichelewa kujibu hawa wadudu hushambulia hata ubongo (Herpesviral encephalitis). Kwa kuwa umesema huna ngoma basi unabahati sana. Mara nyingi wenye Herpes simplex huwa na HIV pia. Kama vipimo viko sahihi ni kutibu hiyo kitu si rahisi kama unavyojua viral diseases nyingi hazitibiki bali utapunguza mazaliano ya vimelea na magnitude ya ugonjwa.

Ushauri tumia antivirals mfano aciclovir, valaciclovir, famciclovir kupunguza maumivu na miwasho tumia dawa za kupaka mfano lidocaine or tetracaine. Usinunue dawa kwenye pharmacy za wahindi ni changa la macho, bora ungalimike upate dawa za uhakika. Made in India nyingi ni counterfeit drugs.

NB use condom always!

Masa boy!
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
17,822
Likes
5,417
Points
280
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
17,822 5,417 280
Habari wana jamii forum mimi natafuta daktari bingwa hapa dar wa magonjwa ya zinaa maana naumwa sana na nimetibiwa siponi nimepima kila kitu mpaka ngoma sasa naona labda nianze na dr mpya na ujuzi mpya naombeni msaada gharama sio shida ntalipa
email yangu:bulongwa@yahoo.com
WE mwanamke au Dume....??
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
150
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 150 160
Pole sana!

Chamuhimu usiendelee kufanya ngono nzembe bila kinga maana utaambukiza wengine. Thats is viral infection, caused by both herpes simplex virus 1 (HSV-1) and herpes simplex virus 2 (HSV-2) hizi aina hupelekea different conditions such as Herpes genitalis ama Eczema herpeticum ukichelewa kujibu hawa wadudu hushambulia hata ubongo (Herpesviral encephalitis). Kwa kuwa umesema huna ngoma basi unabahati sana. Mara nyingi wenye Herpes simplex huwa na HIV pia. Kama vipimo viko sahihi ni kutibu hiyo kitu si rahisi kama unavyojua viral diseases nyingi hazitibiki bali utapunguza mazaliano ya vimelea na magnitude ya ugonjwa.

Ushauri tumia antivirals mfano aciclovir, valaciclovir, famciclovir kupunguza maumivu na miwasho tumia dawa za kupaka mfano lidocaine or tetracaine. Usinunue dawa kwenye pharmacy za wahindi ni changa la macho, bora ungalimike upate dawa za uhakika. Made in India nyingi ni counterfeit drugs.

NB use condom always!

Masa boy!
Mh Masa hapo kwenye red kuna haja ya validation maana dawa zinavutia counterfeit ni zile za bei za juu hasa za big pharmas... ila nakubaliana na wewe kwamba dawa za india mara nyingi hazina viwango, ingawa ni real from manufacturers walio sajiliwa

dawa ya huyu bwana ni kwenda kule maabara za MUCHS au Bugando university micro na immunology... kuna jamaa wanafanya very good lab research wana very good latest literature, akubali kuwa case watamfanyia kila test ya hao wadudu na yanayohusiana... nasema hivi kwasababu dawa za herpez zikow azi na si nyingi sna kwenye tz market lakini
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
Pole sana mzee....!

Nakutumia PM sasa hivi...kuna baadhi ya madaktari nawafahamu pale Muhimbili ....Tumaini, Regency ni wataalamu wa mambo ya urology ni vitu kama hivyo! Just go and see them, ila tu wako expensive kidogo.....!
NL mshikaji ana viral infection, mziki mkubwa huo...regency wataalam wa dialysis....worth trying thou
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
Mh Masa hapo kwenye red kuna haja ya validation maana dawa zinavutia counterfeit ni zile za bei za juu hasa za big pharmas... ila nakubaliana na wewe kwamba dawa za india mara nyingi hazina viwango, ingawa ni real from manufacturers walio sajiliwa

dawa ya huyu bwana ni kwenda kule maabara za MUCHS au Bugando university micro na immunology... kuna jamaa wanafanya very good lab research wana very good latest literature, akubali kuwa case watamfanyia kila test ya hao wadudu na yanayohusiana... nasema hivi kwasababu dawa za herpez zikow azi na si nyingi sna kwenye tz market lakini
Ni rahisi sana, ukienda pharmacy kama upo mjini ulizia hata panadol, watakuuliza unataka za Kenya, Keko, India ama UK? na bei inatofauti....Kenya utaambiwa lets say 200 Tshs, za Keko 100, India Shs 50 per tab na UK 1000 Shs.....hapo vipi? same kwa antimalarials......ndo maana kuna usugu wa dawa ....tunameza sub-therapeutical dosage....fake kila kitu hapo mjini
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
150
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 150 160
Ni rahisi sana, ukienda pharmacy kama upo mjini ulizia hata panadol, watakuuliza unataka za Kenya, Keko, India ama UK? na bei inatofauti....Kenya utaambiwa lets say 200 Tshs, za Keko 100, India Shs 50 per tab na UK 1000 Shs.....hapo vipi? same kwa antimalarials......ndo maana kuna usugu wa dawa ....tunameza sub-therapeutical dosage....fake kila kitu hapo mjini
ntakubaliana na wewe kwenye ubora mkuu ila counterfeit ni imitate product kama vile Metakelfin basi jamaa wanakopi kila kitu na kuifanya ionekane imetoka ulaya... that is something different from generic product with lower qualities

sasa una-refer poor quality generics au counterfeits?
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
ntakubaliana na wewe kwenye ubora mkuu ila counterfeit ni imitate product kama vile Metakelfin basi jamaa wanakopi kila kitu na kuifanya ionekane imetoka ulaya... that is something different from generic product with lower qualities

sasa una-refer poor quality generics au counterfeits?
Mkuu labda sikuweza fikisha ujumbe.....kuwa makini na poor quality na counterfeits....kuna jamaa aliumiza mtoto wake meno kwa kunywesha panadol za Keko Pharmaceutical.....washenzi wanaweka rangi na sukari mingi. Juu wameandika Panadol.......
 
Next Level

Next Level

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2008
Messages
3,158
Likes
22
Points
135
Next Level

Next Level

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2008
3,158 22 135
NL mshikaji ana viral infection, mziki mkubwa huo...regency wataalam wa dialysis....worth trying thou
.....he!he!...unajua sisi wengine tumezoea kudebit na kucredit...sasa when it comes to technical issues za namna hii, we just try refer kwa anyone dealing with downstairs miziki.....bila mchanganua.....!
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
150
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 150 160
Mkuu labda sikuweza fikisha ujumbe.....kuwa makini na poor quality na counterfeits....kuna jamaa aliumiza mtoto wake meno kwa kunywesha panadol za Keko Pharmaceutical.....washenzi wanaweka rangi na sukari mingi. Juu wameandika Panadol.......
sasa hapo tuko pamoja kama tarime na mapanga mazee.... tena tuwe makini sana na hizi dawa za shing' mbili!!! ni wizi mtupu..... quality ya dawa hasa kwenye maduka ya kitaa ni mbaya sana
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
150
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 150 160
NL mshikaji ana viral infection, mziki mkubwa huo...regency wataalam wa dialysis....worth trying thou
Proper advice kabisa masa... inabidi NL aangalie kidogo asije jamaa akatua kwa GP, hii soo ni viral na ishakua sugu... inawezekana kabisa anapata reinfection kila anapopona na kuanza kula ile kitu!!! na ndio maana nilimuuliza ameshaambukiza wangapi??

He needs to go deeper kama gonjwa yenyewe nakaa for years
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
Proper advice kabisa masa... inabidi NL aangalie kidogo asije jamaa akatua kwa GP, hii soo ni viral na ishakua sugu... inawezekana kabisa anapata reinfection kila anapopona na kuanza kula ile kitu!!! na ndio maana nilimuuliza ameshaambukiza wangapi??

He needs to go deeper kama gonjwa yenyewe nakaa for years
Jamaa noma huyu nimempa shule hata thanks hakuna! Next time nitampa ushauri wa kumchanganya! viral nomaaaaaaaaa
 
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Messages
3,152
Likes
3,116
Points
280
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2009
3,152 3,116 280
Habari wana jamii forum mimi natafuta daktari bingwa hapa dar wa magonjwa ya zinaa maana naumwa sana na nimetibiwa siponi nimepima kila kitu mpaka ngoma sasa naona labda nianze na dr mpya na ujuzi mpya naombeni msaada gharama sio shida ntalipa
email yangu:bulongwa@yahoo.com
wewe ni she or he?make ugonjwa wenyewe balaa huo
 
I

Ivilikinge

Member
Joined
Jun 15, 2009
Messages
29
Likes
1
Points
0
I

Ivilikinge

Member
Joined Jun 15, 2009
29 1 0
Mimi mwanaume wewe nilipata ugonjwa huu since 2008 soo una miaka miwli sijambukiza mtu hata mmoja. Mke wangu hana its like an accident bro .am very careful ndio maana kama 5 places nimeenda wamenipima na ngoma niko poa nimeshakujibu maswali yako nipe solution fasta.
 
Forum statistics

Threads 1,236,236
Members 475,029
Posts 29,250,891