Natafuta Nyumba Goba au Mbezi bajeti yangu ni 150k - 250k

Feb 15, 2013
64
109
Habarini wadau,

Natafuta nyumba maeneo ya Goba, au Mbezi Shule hadi Mbezi Makonde. Nyumba iwe ndani ya geti na chumba, sebule,jiko na choo.

Bajeti yangu ni kuanzia 150k - 250k .

Kwa mwenye msaada au anafahamu wapi naweza pata, karibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom