Natafuta chuo kizuri kinachofundisha lugha ya kihispania.

Mireni KJ

Member
Oct 13, 2013
10
5
Habari za hapa wana jukwaa la lugha wote.
Naombeni mnijuze chuo kizuri hapa Arusha kinachofundisha lugha ya kihispania.

Asanteni.
 
Anhaa tenemos buena espanol colegio en la calle de sakina
kuna chuo kipo sakina karibu kabisa na ebony tours au shule ya msingi kiranyi
panda hiace za sakina ngaramtoni na shuka kituo cha silent,ni kama mita mia mbili hamsini hv,ulizia shule ya kiranyi au nicheki kwa +255624010160
bievenido amigo.
 
Maeneo ya CCm mkoa mkabala na uwanja wa abeid aman... kuna chuo hapo uliza utaambiwa ktk moja ya ghorofa...!
 
Back
Top Bottom