Nenda mwenge telemka itv ukiwa unatoka moroco ukisha shuka chepuka kusoto ulizia wanapo fundisha urembo mambo yete hapo angalizo kuna wadada wa hatari hapaNenda veta Kaka kama sio Ile ya uwanja wa ndege kule au hii ya keko
Kichwa kipi.Mkuu tumia kichwa changu kama majaribio nakupa bure
[emoji120][emoji120][emoji120]Nenda mwenge telemka itv ukiwa unatoka moroco ukisha shuka chepuka kusoto ulizia wanapo fundisha urembo mambo yete hapo angalizo kuna wadada wa hatari hapa
Kichwa Cha ndege John? [emoji1][emoji1][emoji1]Mkuu tumia kichwa changu kama majaribio nakupa bure
Wewe umekua mwendawazimu?Mkuu tumia kichwa changu kama majaribio nakupa bure