Natafuta chuo kinachofundisha kuendesha mitambo (operator)

Wadau,

Natafuta chuo kinachofundisha kuoparate mitambo kama scavator, caterpillar, na mitambo mingine, mwenye kufahamu anisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo kipo Shinyanga Mkuu, alaf Caterpillar ni kampuni inayotengeneza Machine km ilivyo Bobcat, JCB, Komatsu nk na sio aina ya machine km ulivyo maanisha" wengi humaanisha Grader """sorry for upset you in one way or another lkn ndó tunawekana sawa na wengine wajue pia ____!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo kipo Shinyanga Mkuu, alaf caterpillar ni kampuni inayotengeneza Machine km ilivyo Bobcat, JCB, Komatsu nk na sio aina ya machine km ulivyo maanisha" wengi humaanisha Grader """sorry for upset you in one way or another lkn ndó tunawekana sawa na wengine wajue pia ____!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa VETA - Shinyanga mashine kama Hydraulic Excavator, Motor Grader, na Road Roller..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia Caterpillar ni Kampuni inayotengeneza hizo mashine mbali mbali za ujenzi na migodini na sasa mpaka Majenereta na Vichwa vya Treni ila si kama dhana iliyopo kuwa Caterpillar ni ile Grader.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Alaf pia kuna kitu nataka kuongezea apo japo sijajua lengo lako ni kwa ajili ya nini hasa, km ni kuhusu kutafta ajira kwenye makampuni ungeomba ushauri pia kwa wadau ata ikibidi humu humu JF tu km vp wakushauri aina ya mitambo iliyoko kwenye market kwa zama hizi, maana izo machine unazozisema mkuu zilikuwaga dili sn enzi izo otherwise uwe na mission maalum na machine izo

ni ushauri tu lkn ktk kutakiana yajayo yawe yanafurahisha!

ni ushauri tu lkn ktk kutakiana yajayo yawe yanafurahisha ___!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Nasubiri majibu hapa
 
Chuo kipo Shinyanga Mkuu, alaf caterpillar ni kampuni inayotengeneza Machine km ilivyo Bobcat, JCB, Komatsu nk na sio aina ya machine km ulivyo maanisha" wengi humaanisha Grader """sorry for upset you in one way or another lkn ndó tunawekana sawa na wengine wajue pia ____!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa namna ulivyo mjibu jamaa. Chukua like yangu
 
Alaf pia kuna kitu nataka kuongezea apo japo sijajua lengo lako ni kwa ajili ya nini hasa, km ni kuhusu kutafta ajira kwenye makampuni ungeomba ushauri pia kwa wadau ata ikibidi humu humu JF tu km vp wakushauri aina ya mitambo iliyoko kwenye market kwa zama hizi, maana izo machine unazozisema mkuu zilikuwaga dili sn enzi izo otherwise uwe na mission maalum na machine izo

ni ushauri tu lkn ktk kutakiana yajayo yawe yanafurahisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
Akasomee kijiko mkuu.dili sana
 
Katika industry ya construction au migodi mashine ambazo ni deal ni grader na excavator.. hizi zingine ukiwa unajua kuendesha gari sometimes watu wanajifunzia maporini huko kama roller. Japo hata hizo grader na excavator watu wanajifunzia site huko huko Inategemea na operator anayekufundisha na wanakuwa wazuri sana kuliko mtu alipita kwenye hayo machuo
 
Back
Top Bottom