Google utapata mkuuWadau mnaendeleaje,
Kijana wangu anapenda ,course ya Aircraft Eng, nilipenda kozi aisomee nje ya nchi hasa canada, Je kuna mtu yeyote anafahamu vyuo vinavyo toa kozi hii na gharama zake ikiwezekana.
Asanteni
nimetafuta kwa google napata vyuo vinavyotoa diploma ya miaka miwili tofauti na tunavyotakaGoogle utapata mkuu