Natafuta chuo chochote cha 3d modelling na gharama zake

Greatthinker47

Senior Member
Sep 24, 2021
122
183
Wadau wa jamii forums naomba yeyote mwenye kufahamu chuo chochote au mahali popote hapa Dar es Salaam ninapoweza kujifunza 3D modelling and designs na gharama zake nahitaji kuelewa Sana hii kitu
 
Shida ya hii ki2 inataka team, kichuo chuo tuliweza kufanya vitu, ila baada ya kumaliza ikawa ngumu, na 3D inataka muda na utulivu, pia inayaka pc yenye uwezo mkubwa
Nakusoma vzr na kwa upande wako wewe binafs 3D unaona ikikupeleka wap toka hapo ulipo au imekutoa vipi mpaka kufikia hapo ulipo mkuu
 
Nakusoma vzr na kwa upande wako wewe binafs 3D unaona ikikupeleka wap toka hapo ulipo au imekutoa vipi mpaka kufikia hapo ulipo mkuu
Muda mrefu sana sifanyi hizi mambo, japo natamani kuanza tena ila muda sasa....honestly ukipata team nzuri mtafika mbali maana hapa kibongo bongo kwenye animation bado, wenzetu wakenya wako mbali.
 
Back
Top Bottom