Natafuta chuo cha graphics

Natafuta chuo cha graphics

jeff_yker

Member
Joined
May 4, 2023
Posts
11
Reaction score
16
Habari, msaada jamani natafuta chuo kinachotoa mafunzo ya graphics design kinachotoa course kwa uwakika hapa dar es salaam kwa anaekijuwa tafadhali anijuze.
 
Habari, msaada jamani natafuta chuo kinachotoa mafunzo ya graphics design kinachotoa course kwa uwakika hapa dar es salaam kwa anaekijuwa tafadhali anijuze.
Hivi ndio vyuo bora nnaweza kukushauri.

1. Youtube (hiki bure kabisa).

2. Udemy (10usd per kozi).

Kazi kwako!
 
Back
Top Bottom