mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,509
- 1,405
Mpaka mchimbwe bit na waziri mpya wa mambo ya ndani ndio mnakimbilia darasani.
come on!!!!!
Mpaka mchimbwe bit na waziri mpya wa mambo ya ndani ndio mnakimbilia darasani.
NIT hawafundishi dereva from scratch kipengele cha kwanza nit lazima uwe na leseni ya udereva yenye D yaan basic na unatakiwa tayari uwe unajua kuendesha gari pale unaenda kufundishwa sheria tu za barabarani na vitu vingine vingine na sio kufundishwa kushika usukani wala kuingiza GiaNenda NIT chief..
Kwani kuna tatizo?yaani unataka ukasomee udereva,upo sawa kichwani kweli mtoto wa kiume?
duuh haya...
hapo NIT ita chukua muda gani hadi una maliza??NIT hawafundishi dereva from scratch kipengele cha kwanza nit lazima uwe na leseni ya udereva yenye D yaan basic na unatakiwa tayari uwe unajua kuendesha gari pale unaenda kufundishwa sheria tu za barabarani na vitu vingine vingine na sio kufundishwa kushika usukani wala kuingiza Gia
gharama zake mkuu ni kiasi gani??Nenda NIT
Mkuu, sidhani kama NIT ni hicho tu wanchofundisha.pale unaenda kufundishwa sheria tu za barabarani na vitu vingine vingine na sio kufundishwa kushika usukani wala kuingiza Gia
ok!!..chek mlimani driving schoolNIT hawafundishi dereva from scratch kipengele cha kwanza nit lazima uwe na leseni ya udereva yenye D yaan basic na unatakiwa tayari uwe unajua kuendesha gari pale unaenda kufundishwa sheria tu za barabarani na vitu vingine vingine na sio kufundishwa kushika usukani wala kuingiza Gia