Mpaka mchimbwe bit na waziri mpya wa mambo ya ndani ndio mnakimbilia darasani.habari members!
Jamani natafta chuo kizuri kinachotoa mafunzo ya udereva kwa hapa dar tofauti na VETA Wapo wanaosema niende The Amazon Driving School na The Future World Training Instute msaada jamani
Kama upo dar nenda havard wapo tabata kituo cha postahabari members!
Jamani natafta chuo kizuri kinachotoa mafunzo ya udereva kwa hapa dar tofauti na VETA Wapo wanaosema niende The Amazon Driving School na The Future World Training Instute msaada jamani
Hawa wapo sehem gan?I'd choose AA Tanzania.
Hamna kujazana ndani ya gari. One instructor one student. Pia, takes shorter time, just ten days kama utaopt practical ya one hour na theory ya one hour each day.
Ningekushauri uchague option ya siku 20. Half an hour ya theory na practical kila siku. Nilichagua ya lisaa limoja each kwa siku I ended up being bored na kuwa mtoro.
Mathuradas Street, Upanga Dar es Salaam.Hawa wapo sehem gan?
Ada shilingi ngapi?I'd choose AA Tanzania.
Hamna kujazana ndani ya gari. One instructor one student. Pia, takes shorter time, just ten days kama utaopt practical ya one hour na theory ya one hour each day.
Ningekushauri uchague option ya siku 20. Half an hour ya theory na practical kila siku. Nilichagua ya lisaa limoja each kwa siku I ended up being bored na kuwa mtoro.
Laki 2 na kitu.... sikumbuki ni 235....sorry about that but naweza confirm kesho Mungu akipenda.Ada shilingi ngapi?
sh ngapi bei nipo maeneo hayo nimpeleke kijanaKama upo dar nenda havard wapo tabata kituo cha posta
NitashukuruLaki 2 na kitu.... sikumbuki ni 235....sorry about that but naweza confirm kesho Mungu akipenda.
275,000Ada shilingi ngapi?
Shukrani,275,000
Inarahisisha kupata leseni au?yaani unataka ukasomee udereva,upo sawa kichwani kweli mtoto wa kiume?
duuh haya...
Kuna ubaya mkuu.?yaani unataka ukasomee udereva,upo sawa kichwani kweli mtoto wa kiume?
duuh haya...