Natafuta chumba SUA mazimbu

Hostel zpo na wanafunz wa sua wanabebana huwez kosa

Ila kapange trust me sitaki kukwambia kwa nn utakuja kujua baadae kuhusu hao wanaokwambia uhuni mbona wanaokaa hostel wanaendekeza pia uhun ni akili yako tu
 
Shukrani Kaka kwa ushauri mzuri
 
Mkuu, naamini umeshamaliza hapo mazimbu chuo,, sasa nsomba unifanyie mpangi getho kama liko fresh nipange chap
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…