Natafuta chumba nataka kufungua Restaurant.

Natafuta chumba nataka kufungua Restaurant.

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
750
Reaction score
367
Nahitaji sehemu ya kufungua restaurant ya kawaida yenye kuhudumia watu 10 mpaka 15 vyakula vya uhakika ni wali ugali,pilau, biriani
supu chai na vyakula kwa oda, ni maeneo gani mazuri kwa hapa Dar Es Salaam na flem nahitaji isiyo zidi 50,000/= kwa mwezi.
0714 045 080. serious wakuu.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Ndugu yangu kupata 'flem' ya 50,000 kwa ajili ya restaurant? Jipange upya mkuu.
 
Nahitaji sehemu ya kufungua restaulant
ya kwaida yenye kuhudumia watu 10 mpaka 15
vyakula vya uhakika ni wali ugali,pilau, biliani
supu chai na vyakula kwa oda, ni maeneo gani
mazuri kwa hapa dar na flem nahitaji isiyo zidi
50,000/= kwa mwezi. 0714 045 080. serious wakuu.


Kupata location nzuri kwa hiyo Bei ni ishu sana, Make Restraurant inataka ukae location ambapo unajua kwamba watu wako bise sana mfano Maoifisi na shughuri zingine kama maduka na watu ni lazima wale Hotelini, Na maeneo yalioko bise mara nyingi vyumba ni ghari sana ni vigumu kupata.

Hivyo ni lazima ubadili mahesabu kuhusu chumba, na some time unaweza tafuta njia rahisi ikiwemo kutafuta mobile ambayo nayo kuna vitu lazima uwe navyo
 
Mi naona haupo serious.
Maelezo na masharti mengi hela yenyewe ya kununulia android phone.
Jipange meen
 
Back
Top Bottom