Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
hahahahahahaha mashalah tena?Mashalaah
hahahahahahaha mashalah tena?Mashalaah
hahaha kuna raia wanakaa sehemu za ajabu na kazini ni nadhifu ohoo jikaze au tafuta gest za mtaani huko kwasiku buku jeroVipi kuhusu huduma muhimu za kibinadamu? Kazi yangu natakiwa kuwa nadhifu ofisini, hivyo siwezi kulala kwenye maboks. Asante kwa maoni.
Si unaona jamaa anasema hawezi kulala kwenye maboksi anataka kitanda kisafi ila pesa hanahahahahahahaha mashalah tena?
...mfungwa hachagui gereza!Ungekua unaweza kukaa pemebezoni mwaka mjini ningekuunganisha na jamaa yangu anaishi nyumba nzima mwenyewe (ukonga)
Mkuu kuna sehem kasema anataka katikati ya mji....mfungwa hachagui gereza!
..akishindwa hii ofa,kuna analotafuta!
...teh hee heeAkikosa huko ataenda hata mwabepande.
Si bora mdada atawekwa geto, atatoambwa...Watu mnajifanya mnanyodo sana angelikua mdada mngemchangamkia fasta hata hotel mngempangia...acheni hashuo mtu ameomba msaada huwezi kumstiri nyamaza tu
Ndio si anacho cha kufurahisha mwanaumeWatu mnajifanya mnanyodo sana angelikua mdada mngemchangamkia fasta hata hotel mngempangia...acheni hashuo mtu ameomba msaada huwezi kumstiri nyamaza tu
Sio kila mwanaadamu ana akili za kipuuzi namna hiyo,Si bora mdada atawekwa geto, atatoambwa...
Huyu kijana si atafii????
Ndio feva za watu, ukiona mwanamke kasema shida wakamiminika wa kumsaidia na hayo yapo....ajikaze kijana apange hata geto lisilo na umeme ilmradi kwake au apate mtu mwenye nyumba wazi akae kama anailinda ila kitafuta mtu ashee kodi inaleta ukakasi, tena na ana kazi sio uamuzi sahihiSio kila mwanaadamu ana akili za kipuuzi namna hiyo,
SawaaNdio feva za watu, ukiona mwanamke kasema shida wakamiminika wa kumsaidia na hayo yapo....ajikaze kijana apange hata geto lisilo na umeme ilmradi kwake au apate mtu mwenye nyumba wazi akae kama anailinda ila kitafuta mtu ashee kodi inaleta ukakasi, tena ana ana kasi sio uamuzi sahihi
Mkuu sibishi kama maisha ya Ghetto yapo, wengi tumepita huko. Lakini arrangements kama hizi huwa tunafanya na masela tulioshibana na kujuana kwa undani sana (toka school, vijijini mikoani huko n.k). Sio from nowhere unataka kuishi ghetto na mtu humjui hata kidogo, huko ni kuweka rehani marinda na inaleta shaka kidogo kwenye lengo lako mahsusi.Hi all,
Natafuta kijana mwenzangu mwenye chumba / geto tushee. Mpango wa kupanga mwenyewe ninao baada ya mwezi 1 au 2.
Uwezo wangu kwa sasa ni kulipa kodi na gharama zingine kwa wiki au mwezi, bado sina Kodi ya miezi 3 au 6.
Ndio nimeanza kazi so hata mkopo bado sijaqualify. So kama una geto lako hapa Dar basi nikaribishe tusaidiane maisha. Eneo lililo karibu na city centre/mjini k.v. Ilala, magomeni, chang'ombe itapendeza.
Njoo PM
kwan mdada hawez kufiii??Si bora mdada atawekwa geto, atatoambwa...
Huyu kijana si atafii????
Maneno mubasharaaaaa hakuna kumumunya maneno chukua[emoji109]Si bora mdada atawekwa geto, atatoambwa...
Huyu kijana si atafii????
Ndio maaana nakupendaga saaaaanaaaa[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Ndio feva za watu, ukiona mwanamke kasema shida wakamiminika wa kumsaidia na hayo yapo....ajikaze kijana apange hata geto lisilo na umeme ilmradi kwake au apate mtu mwenye nyumba wazi akae kama anailinda ila kitafuta mtu ashee kodi inaleta ukakasi, tena ana ana kasi sio uamuzi sahihi