mkuu habari ya wewe,natafuta chumba tena maeneo ya kilakala chumba kimoja,KIONGOZI kuna vyumba viwili hapa tumbaku daladala mpaka mjini ni wakina tatu unafika kituoni
Viko poa sana bei 35k @
Karibu sana KIONGOZI
No dalali
Tumbaku si inaleta Kansa?KIONGOZI kuna vyumba viwili hapa tumbaku daladala mpaka mjini ni wakina tatu unafika kituoni
Viko poa sana bei 35k @
Karibu sana KIONGOZI
No dalali