Natafuta Chumba cha Kukaa (Living Room) Musoma mara

Shwintux

New Member
Joined
Aug 10, 2025
Posts
1
Reaction score
2
Wakuu habari,

Nimehamia Musoma hivi karibuni kwa ajili ya kazi na nimekuwa nikisumbuka kupata chumba kizuri cha kukaa (living room) kwa malipo ya kila mwezi.

Vigezo ninavyopendelea:

  • Iwe maeneo ya mjini (karibu na barabara kuu)
  • Mahali pasafi na salama
  • Bei isiyo juu sana kwa malipo ya kila mwezi
  • Inaweza kuwa na fanicha au bila fanicha

Kama kuna mtu anafahamu chumba kinachopatikana, dalali au mwenye connection yoyote, tafadhali tuwasiliane hapa au kwa DM.

Nitashukuru sana kwa msaada wowote.

Ahsanteni.
 
Angalia hapo kitaji kwa mama Nyakiteri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom