Natafuta camcord video camera

Natafuta camcord video camera

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,300
Wakuu habari, nadhani humu ndani nipo mahari sahihi kwa wataalamu wa mambo ya technilogia, natafuta mtu mwenye camcorder video camera yenye mega pixel 24 au zaidi, tufanye biashara, kama unayo naomba nipm, ili tuzungumze au hata kama kunamtu anayoanaweza kunikodisha basi itakiwa poa zaidi. wako mtiifu.najalibu kuweka picha nachemka
 
Hujasema ya min Dv au hizi za kisasa, anyway Nenda Kkoo au posta mkuu..ila jiandae maumivu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom