Natafuta bus bora

Natafuta bus bora

Kama unataka usafiri wa usalama kabisa .ila utachelewa kufika pia, Safiri na Basi la TRAVEL PARTNER.ni wastaraabu sana wale jamaa. Ukitaka prukushani za mbio mbio na roho mkononi safiri na mabasi mengine kama HAPPY NATION au FRESTER
Hii gari inapita mwanza.?
 
Happy nation hakuna kitu nilipanda saa kumi Dar na nikafika Mwanza saa kumi alfajiri siku ya pili. Kila kituo linaharibika sirudi na sipandi tena.
Panda Allys ndio bora haswa ukipata lile la kwanza kabisa saa kumi asubuh unafika Mwanza saa nne usiku
Pole
 
Hivi kuna gari yakuunga dar to bukoba,nadhani dar to mwanza then mwanza to bukoba
Zipo nyingi boss. Unalala Kahama wakati unakuja Bukoba,ila ukitoka Bukoba kwenda Dar hulali popote ni mpaka unafika Mbezi.
 
Happy nation hakuna kitu nilipanda saa kumi Dar na nikafika Mwanza saa kumi alfajiri siku ya pili. Kila kituo linaharibika sirudi na sipandi tena.
Panda Allys ndio bora haswa ukipata lile la kwanza kabisa saa kumi asubuh unafika Mwanza saa nne usiku
Dar to mwnz gari ni ally's tu kwasisi tunaojali muda ,, nikikosa hiyo kampuni sisafiri.. yaan unatoka dar alfajir mwnza saa 4 tu tena sio hiyo ya kwnza gari zao zote zinajali muda
 
Kama unataka usafiri wa usalama kabisa .ila utachelewa kufika pia, Safiri na Basi la TRAVEL PARTNER.ni wastaraabu sana wale jamaa. Ukitaka prukushani za mbio mbio na roho mkononi safiri na mabasi mengine kama HAPPY NATION au FRESTER
Alisimama kwa muda, bado hajarudi barabarani

Sent from my CLT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Happy nation hakuna kitu nilipanda saa kumi Dar na nikafika Mwanza saa kumi alfajiri siku ya pili. Kila kituo linaharibika sirudi na sipandi tena.
Panda Allys ndio bora haswa ukipata lile la kwanza kabisa saa kumi asubuh unafika Mwanza saa nne usiku
Ally's DXS series, wanaenda na muda sana

Sent from my CLT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom