ushajiuliza mko wangapi?
Kama pesa huna hatutawezana my dia,sorry.
Nimekukubali mchizi wangu umefunguka ukweli, sio wengine wanaleta viswaga vya kishamba eti na degeree na kazi nzuri na atakae kuja awe na ka digirii bora ww umesema mpunga ndio una mata kwako... poa kesho nakuja Arusha kukuchukuaAwe anatokea Arusha. Umri kuanzia 27 to 30, awe handsome na of corse awe stable kipesa pia awe anajua mapenzi mambo ya kuchafuana ctaki mie.
Awe anatokea Arusha. Umri kuanzia 27 to 30, awe handsome na of corse awe stable kipesa pia awe anajua mapenzi mambo ya kuchafuana ctaki mie.
Taja sifa zako hapa! Isije ukawa kituko na ukakimbiwa na huyo atakaejitokeza. Mfano, una elimu gani? Mweupe au mweusi? Una nini, vtiz au volkswagen maana wengine hawapendi mali za mwanamke na wengine wanapenda mteremko!
Lets just keep it simple, am independent kind of woman.
mimi natokea arusha maeneo ya longijavhe,ni handsome.kuhusu pesa ninazo kiasi.ningependa kama ungeweka wazi kama unataka muhusika awe na akiba ya wastani wa dola ngapi benki.Awe anatokea Arusha. Umri kuanzia 27 to 30, awe handsome na of corse awe stable kipesa pia awe anajua mapenzi mambo ya kuchafuana ctaki mie.
Awe anatokea Arusha. Umri kuanzia 27 to 30, awe handsome na of corse awe stable kipesa pia awe anajua mapenzi mambo ya kuchafuana ctaki mie.
Awe anatokea Arusha. Umri kuanzia 27 to 30, awe handsome na of corse awe stable kipesa pia awe anajua mapenzi mambo ya kuchafuana ctaki mie.
Awe anatokea Arusha. Umri kuanzia 27 to 30, awe handsome na of corse awe stable kipesa pia awe anajua mapenzi mambo ya kuchafuana ctaki mie.
mimi natokea arusha maeneo ya longijavhe,ni handsome.kuhusu pesa ninazo kiasi.ningependa kama ungeweka wazi kama unataka muhusika awe na akiba ya wastani wa dola ngapi benki.