Natafuta Boyfriend.

Nna vigezo vyote. Je unatoa 0713?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama pesa huna hatutawezana my dia,sorry.

Umèfulia ndo ukaamua kukimbilia jf?Pesa dada yangu zna wenyewe! Inaonekana wew ni wale wale wapenda noti aaah! Tena Arusha mie hta ctak hata kukuona!Et kama huna pesa hapana unapenda pesa au penz?.Haya may be utampata?Cdhani
 
Awe anatokea Arusha. Umri kuanzia 27 to 30, awe handsome na of corse awe stable kipesa pia awe anajua mapenzi mambo ya kuchafuana ctaki mie.
Nimekukubali mchizi wangu umefunguka ukweli, sio wengine wanaleta viswaga vya kishamba eti na degeree na kazi nzuri na atakae kuja awe na ka digirii bora ww umesema mpunga ndio una mata kwako... poa kesho nakuja Arusha kukuchukua
 
Awe anatokea Arusha. Umri kuanzia 27 to 30, awe handsome na of corse awe stable kipesa pia awe anajua mapenzi mambo ya kuchafuana ctaki mie.

Taja sifa zako hapa! Isije ukawa kituko na ukakimbiwa na huyo atakaejitokeza. Mfano, una elimu gani? Mweupe au mweusi? Una nini, vtiz au volkswagen maana wengine hawapendi mali za mwanamke na wengine wanapenda mteremko!
 
Lets just keep it simple, am independent kind of woman.
 
Awe anatokea Arusha. Umri kuanzia 27 to 30, awe handsome na of corse awe stable kipesa pia awe anajua mapenzi mambo ya kuchafuana ctaki mie.
mimi natokea arusha maeneo ya longijavhe,ni handsome.kuhusu pesa ninazo kiasi.ningependa kama ungeweka wazi kama unataka muhusika awe na akiba ya wastani wa dola ngapi benki.
 
Mirhea we Mbaguzi sana kwa nini unataka atokee tu Arusha,ungesema hata sisi watu wa huku Machimboni Nyarugusu Mkoani Geita,jaribu kubadli mawazo kidogo ujitanue zaidi kidogo,mi niko tayri kukupa Shimo moja la dhahabu.Chondechonde.
 
mimi natokea arusha maeneo ya longijavhe,ni handsome.kuhusu pesa ninazo kiasi.ningependa kama ungeweka wazi kama unataka muhusika awe na akiba ya wastani wa dola ngapi benki.

Nt tht much dollar, just mek sure u don't go broke nw n then if u kno wht I mean.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom