Natafuta Boyfriend ambaye atakuwa mume baadae

Natafuta Boyfriend ambaye atakuwa mume baadae

cheleeeeeeeeeeeeeeeeeekoooooooooooooooooooooooooooooo.........................................cheeeeeeeeeeeeeeleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeekooooooooooooooooooooooooo...............................:A S 11:
 
Du cku hiz mapenz ni shida hadi qualification zinahitajika ila ww upo fair sna hamna working experience natumai utapata graduate wengi all the best diploma chali.

Mkuu hapo kwenye red umenifurahisha sana
hapo tuko wengi,
formsix
formfour
lasaba(mimi niko hapa)
lanne
hawajasoma
 
naona nakosa sifa moja , lakini mimi ni husband material sasa sijui utakubali kuwa my second wife ? kama upo tayari nipm baby
 
kwa nini isiwe chini ya miaka 29 , kwani wewe hutaki serengeti boys
 
Ninaye mmoja ambaye anakidhi vigezo ulivyoviweka. Kama hutajali wasiliana na Babu uwe mmoja wa wajukuu zake!

Babu DC!!
 
Mkuu hapo kwenye red umenifurahisha sana
hapo tuko wengi,
formsix
formfour
lasaba(mimi niko hapa)
lanne
hawajasoma

Mwanamke kumtafuta mtu mwenye sifa kama zake au zaidi yake ndiyo busara yenyewe ya mambo ya MMU. Kinyume cha hapo ni kuficha shingo kwenye mchanga kama mbuni!!
 
Back
Top Bottom