Natafuta Boyfriend aliye serious

Je taraab imo?
 
Duh...uzee huu unanikosesha mwenza hivi hivi...tena mtoto wa nyumbani (Kilimanjaro) kabisa huyu!

Heheheeee....... Jaribu bahati yako... Bi dada anaweza legeza masharti...!!
 
Mchumba hupaswi kuwa hivi bebi

So ulikuwa unanitafuta unione nikoje, I am so cool ukiwa cool kwangu na I am so cruel, ukinijaribu, sipendi upuuzi, heshimu watu, nimekuinsult before, or Wewe just umefeel kuinsult watu, heshimu watu wakuheshimu, na lastly don't baby Me!, Wewe si mstaarabu!, heshimu watu!
 
anaweza kuwa na sifa zote hizo lakini akawa jobless pamoja na degree yake. kipengele cha "kujishughulisha" ni muhimu mama, kuna watu wanatembea na degrees zao kwa briefcase bila kuzifanyia kazi
 
anaweza kuwa na sifa zote hizo lakini akawa jobless pamoja na degree yake. kipengele cha "kujishughulisha" ni muhimu mama, kuna watu wanatembea na degrees zao kwa briefcase bila kuzifanyia kazi

Najua kuna watu weni hawana kazi, but Mi naangalia mawazo yae yakoje, ni mtu ambaye mkisupportiana mnasonga or not, kuna watu wako kazini lakini hawana lolote, akisimamishwa kazi ghafla hajui hata ajaribu nini street
 
nakwambia mdogo wangu kazi au biashara ni muhimu kwa mwanaume....yalinikutaga hayo ya kusapotiana, jamaa akaweka kambi kwangu bila kuwa msaada wowote! all in all, good luck
 
No, sitafuti Mume now, natafuta Boyfriend, sikurupuki kusema Mume cause sifiirii kuoana naye so fast, nataka tukae muda wa kutosha kusomana.
 
nakwambia mdogo wangu kazi au biashara ni muhimu kwa mwanaume....yalinikutaga hayo ya kusapotiana, jamaa akaweka kambi kwangu bila kuwa msaada wowote! all in all, good luck

Asante my Sister, mmmh Mimi suala la kuhamia ninapoishi, hapana, akae tu kwao!, but support nitampa, but walau aonyeshe changes, Asante!
 
Mungu akupe wa kufanana na wewe na mwenye vigezo uvitakavyo,inshallah
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…