Hii itakuwa ni namba TZ arawa..Namba D vipi? tena inatumia Diesel. View attachment 1101515
hahaha hata mimi ulijua kunichota nikawaza huyu boxers zetu anataka kuzifanyia nini kumbe pikipiki... lol.Any way.. Nilimaànisha piki piki aina ya boxer
Viatu vya samakiNamba D vipi? tena inatumia Diesel. View attachment 1101515
Unataka viatu vya samaki namba ngapi. Mikoani pia natuma.Viatu vya samaki
😂😂😂 na mimi niongezee pair nyngnUnataka viatu vya samaki namba ngapi. Mikoani pia natuma.
Imetosha, tumia hiyo hadi ufike darasa la saba.[emoji23][emoji23][emoji23] na mimi niongezee pair nyngn
😢😢😢 mvua hizi zinaharibu viatu.Nahitaji pair nyngnImetosha, tumia hiyo hadi ufike darasa la saba.
hahaha hata mimi ulijua kunichota nikawaza huyu boxers zetu anataka kuzifanyia nini kumbe pikipiki... lol.
[emoji23][emoji23][emoji23] na mimi niongezee pair nyngn
PM kuna padlock😊Mkuu ninashida na wewe pm, nimejaribu kukutumia ujumbe naambiwa siwezi kuwasiliana na wewe naomba unipm.