Munch wa Annabelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 6,318
- 10,954
Mkuu Hawa NDO vipaumbele vyako Katika mwanamke unayomtaka? Yan atoke humu Kwa ulotag
Mkuu Hawa NDO vipaumbele vyako Katika mwanamke unayomtaka? Yan atoke humu Kwa ulotag
Usisahau kutupa mrejeshoThawa bosss
Mrembo ephen_ ukorofi huu 😅😅😅😅😅 unamshushua mwenzako, anataka mwali jamani, tutakosa wifi sasa.4mil kwa mwezi usingepata muda wa kugombania vocha za halotel na mimi.
DuuhNakublock kama nilivyoblock ID zako nyingine kichwa maji wewe
Kabisaa tushakua over used...😃😃Kila lakheri Ila hapa JF wengi wanachezea 35+50 ukikosa jaribu na Facebook
Hamna Mkuu mpo under utilized vijana waendelee kujaribu tena na tena wasichokeKabisaa tushakua over used...😃😃