Rudia andiko Kwa utulivu, bikla unaitaj za maskio au Malinda😆Ni wakati sasa wa kuoa nimeona nitoe taarifa na humu oengine wapi au kuna watu mnawajua wenye sifa hizo nili hatimae na mimi nipate mke.
Sifa zangu;
Mrefu wa wastan na mwembamba
Awe muislam
Businessman (apex. 4 mil/month)
Umri 26 years
Elimu; Form six
Location ; Mbeya
Sifa zake ninaemhitaji;
Awe mrefu ila asinipite
Umri 19- 24
Awe mwembamba
Awe bikra
Itapendeza akiwa mweupe
Elimu yoyote
Awe Muislam