Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,327
You're still a kid!26?Tuliza ball.Kwani umri mdogo au mkubwa bloh
You're still a kid!26?Tuliza ball.Kwani umri mdogo au mkubwa bloh
We kweli mtoto!..bikra wa kazi gani, unatafuta bikira wodi ya wazazi!?Ni wakati sasa wa kuoa nimeona nitoe taarifa na humu oengine wapi au kuna watu mnawajua wenye sifa hizo nili hatimae na mimi nipate mke.
Sifa zangu;
Mrefu wa wastan na mwembamba
Awe muislam
Businessman (apex. 4 mil/month)
Umri 26 years
Elimu; Form six
Location ; Mbeya
Sifa zake ninaemhitaji;
Awe mrefu ila asinipite
Umri 19- 24
Awe mwembamba
Awe bikra
Itapendeza akiwa mweupe
Elimu yoyote
Awe Muislam
Mrembo wa nguvuHakikisha na ww ni og.
😂😂😂bikra zinatolewa kimasihara nowWe kweli mtoto!..bikra wa kazi gani, unatafuta bikira wodi ya wazazi!?
HiMrembo wa nguvu
Njoo Pm lovelovie
Nimependa hii nitajaribu na mama NginaUnataka bikra mitandaoni vwewe ni bikra?View attachment 3387804
Ukampige na kitu cha ncha kaliNjoo Pm lovelovie
😂😂Amna broda ni Kwa nia nzuri tu ya kufahamiana zaidiUkampige na kitu cha ncha kali
kuna nin?Njoo Pm lovelovie
Ukanyonywe damu na maji acha uogakuna nin?
Me mwenyewe zombiieee tena naitwa Kinyonyileeeeeeee😜Ukanyonywe damu na maji acha uoga
Nenda sasa mkapambaneMe mwenyewe zombiieee tena naitwa Kinyonyileeeeeeee😜
Thawa bosssNenda sasa mkapambane
Yaani unatafuta bikra kwa watoto wa 2000?
Mkuu hauko serious![]()
Hayupo siriazi😂Yaani unatafuta bikra kwa watoto wa 2000?
Mkuu hauko serious![]()