Mkuu napendekeza mtoa mada akung'ang'anie inawezekana kwako atajifunza vingi.
Mfikirie tu.....kila la kheri
Mkuu napendekeza mtoa mada akung'ang'anie inawezekana kwako atajifunza vingi.
Mfikirie tu.....kila la kheri
Je? Kutokujua Vizuli Kiswahili Kutanikosesha Fursa Ya Kupata Mtu Wa Kujumuika Nae? Kama Ndio Hivyo Bas Naomba Uwe Mwalim Wangu Mdahuu Ili Nisije Nikakosa Mwenza Wa Kujumuika Nae, Kama Ni Fedha Nitakulipa
Shelehe= Sherehe
Ilimladi= Ili mradi
Kutangawa = Kutangazwa
Kuya kihistory = ni ya kihistoria
Pekeako = peke yako
Akae = atakayekuwa
Vishiliki =vishiriki
NAKUTAKIA UTAFUTAJI MWEMA
Asante Kwa Kuniwakilishia Maombi Mkuu Naamini Nitakubaliwa
Mbele yetu tunaelekea kwenye sherehe moja kubwa sana, sherehe hii itafanyika baada ya ukawa kutangazwa washindi katika kiti cha urais, sasa nimekuja kwenye jukwaa hili kutafuta binti wa kufanya nae sherehe.
Maana hii sherehe ni kuya kihistory kwahiyo si vizuri kushelekea pekeako akae kuwa wakwanza kujitokeza atapewa kipaumbele ilimradi awe mmoja kati ya vyama vishiriki (UKAWA).
Watu wanao mix 'r' na 'l' wananikera shelehe ndo kitu gani sasa
Msamehe atakua mfipa mwenzangu huyu.... sisi hatunaga r...kuanzia asubuhi "malahaba" hadi usiku wa "kwaheli" ya kulala