Natafuta bendi ya muziki

Natafuta bendi ya muziki

Mediaty

Member
Joined
Aug 10, 2023
Posts
39
Reaction score
65
Habari zenu Wana Jamii forum? Natumanini mko salama kabisaà.

Mimi ni kijana wa kiume, nipo Dar Es Salaam, Ubungo. NATAFUTA band ya mziki ya kujiunga nayo katika shughuli za mziki. Yeyote anaeweza kuniconnect na kikundi chochote kinachofanya mziki wa live ntashukuru Sana.

Experience yangu ni zaidi ya mwaka mmoja, Nina elimu ya mziki, nafanya mziki pia Kama singer and songwriter. Nyimbo nazoweza kuimba vizuri, ni RnB, Reggae, Afrobeat na BongoFlava. Naimba Tenor na Baritone. Lugha ni kiswahili na kiingereza.

Mawasiliano
0746964493
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom