fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,614
- 7,175
Ni kikompyuta cha zamani dell xps 10.Mwenye kujua wapi naweza kupata battery yake anijuze.Natanguliza shukrani
Mimi nipo mwanzaKama upo kigamboni mda huu njoo tufanye biashara nahitaji elfu 60 inakaa masaa 6 na chaji