Natafuta banda la kufugia kuku Dar es salaam

Mr Confidential

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,496
2,364
Habari za saa,
Kama kichwa cha ujumbe kinavyojieleza.

Natafuta banda la kufugia kuku / eneo la kufugia kuku (chotara )

Bajeti niliyonayo haitoshi kujenga kununua eneo na kujenga banda. Hivyo natafuta banda / eneo ambalo nitatumia kufuga ili nipate pesa na kupanua ufugaji.

Naona siku zinakwenda lakini nashindwa kuanza kufuga. Na changamoto kubwa kwangu ni eneo /banda.

Natafuta kwa maeneo ya Dar es Salaam maana nitaweza kusimamia mwenyewe.Mikoani itaniwia vigumu.

Mwenye banda / eneo ambalo hatumii kwa sasa. Au kama yupo anaekodisha / Au kama unafahamu mwenye nalo/ pia kama unaweza kunipa plan B.

0674320606
 
Get in touch,,,dm...nina eneo sijaanza kulifanya chochote ni Ruvu darajani huko if u can be interested tunaweza kuongea ukaweka banda...kifupi ni shamba 0714-300050

Back
Top Bottom