Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,321
Kama title ilivo apo juu.
Naileta jukwaa Ili kwa kuwa hapa jf mimi ni mdau mkubwa wa jukwaa Ili zaidi ya majukwaa mengine yote.
Kwa wale wote waliohamia mikoani kama dodoma ivo kuhitaji kuachia Nyumba walikotoka (DSM)
Nahitaji kupata Nyumba yenye hati kwa kuwa tayari nishaumizwa na wajanja wa mjini.
Nyumba iwe DSM, muuzaji asiwe dalali yani awe mnufaika wa pesa ya mauzo /mmiliki. Iwe kwenye maeneo yanayofikika kwa gari. Sehemu yoyote DSM pasiwe kigamboni. Iwe inafaa kwa kuishi, kama haijaisha ila iko chini ya OFA yangu pia inazungumzika.
Sharti kuu iwe na hati. NITUMIE pm number zako na details nikutafute.
OFA YANGU HAIZIDI MILIONI60 KULINGANA NA HALI YA MALI. IWE NA HATI.