Natafuta banda au nyumba ya kununua

Nenda mtaa ufipa kuna nyumba Inauzwa Ukienda hapo utakutana na bango lenye namba ya simu ya wahusika .....
Nyumba nyingine kuna jamaa zangu wanaiuza Iko Nyuma ya science kijitonyama....karibia na kanisa la walutheri....

Ova

Tatizo la waweka matangazo wengi wanakuwa matapeli. Mpaka upate genuine ni kazi... Kama utaweza kuniunganisha na true owners ntashukuru
 
Tatizo la waweka matangazo wengi wanakuwa matapeli. Mpaka upate genuine ni kazi... Kama utaweza kuniunganisha na true owners ntashukuru
Hakuna utapeli wala nn!namba ni za wahusika wenyewe ....hivi ubatapeliwa vp unapotaka nunua nyumba......
Maana nijuavyo unapotaka nunua nyumba lazima ukajiridhishe serikali za mitaa na unapeleleza kwa majirani je nyumba ni ya wahusika wenyewe.....
Kingine wakati wa biashara nyumba nyingi za urithi na wengineo watu wanaenda kumalizana mahakamani...au kwa mwanasheria wako wewe.....
Wanunuzi wengine waliyokuwa na tamaa Kutaka kukwepa garama za kumpa Wakili au kwenda kulipa mahakamani utakuta anafanya kivyake mwishowe unaishiaaa kupigwa....ila kwa Mtu mwenye uelewa huwezi mtapeli kirahisi.....

Ova
 
Ipo Bunju B "dkb 10 mpaka barabara kuu ya Bagamoyo, Ina hati 4 bedroom, 11 master bedroom, ina umeme, need modern facelift

Ipo Bunju B , umbali wa dk 10 mpaka barabara kuu ya Dar Bagamoyo ,Ina hati, 4 rooms , 1 master , umeme upo , bomba la Maji halipo mbali na nyumba ,Inahitaji modern facelift . Good for investment ,seriously buyer just pm me ,offer in excess of 60mil

Above 60 mil siwezi hata kubagain
 
Tatizo la waweka matangazo wengi wanakuwa matapeli. Mpaka upate genuine ni kazi... Kama utaweza kuniunganisha na true owners ntashukuru
Kinondoni najua nyumba zaidi ya 4
Naweza Kuku link na wahusika We ni pm # yako
Tuonge zaidi

Ova
 
OK mkuu n
Hakuna utapeli wala nn!namba ni za wahusika wenyewe ....hivi ubatapeliwa vp unapotaka nunua nyumba......
Maana nijuavyo unapotaka nunua nyumba lazima ukajiridhishe serikali za mitaa na unapeleleza kwa majirani je nyumba ni ya wahusika wenyewe.....
Kingine wakati wa biashara nyumba nyingi za urithi na wengineo watu wanaenda kumalizana mahakamani...au kwa mwanasheria wako wewe.....
Wanunuzi wengine waliyokuwa na tamaa Kutaka kukwepa garama za kumpa Wakili au kwenda kulipa mahakamani utakuta anafanya kivyake mwishowe unaishiaaa kupigwa....ila kwa Mtu mwenye uelewa huwezi mtapeli kirahisi.....

Ova

OK mkuu... Nmekupata
 
Kama title ilivo apo juu.

Naileta jukwaa Ili kwa kuwa hapa jf mimi ni mdau mkubwa wa jukwaa Ili zaidi ya majukwaa mengine yote.

Kwa wale wote waliohamia mikoani kama dodoma ivo kuhitaji kuachia Nyumba walikotoka (DSM)

Nahitaji kupata Nyumba yenye hati kwa kuwa tayari nishaumizwa na wajanja wa mjini.
Nyumba iwe DSM, muuzaji asiwe dalali yani awe mnufaika wa pesa ya mauzo /mmiliki. Iwe kwenye maeneo yanayofikika kwa gari. Sehemu yoyote DSM pasiwe kigamboni. Iwe inafaa kwa kuishi, kama haijaisha ila iko chini ya OFA yangu pia inazungumzika.

Sharti kuu iwe na hati. NITUMIE pm number zako na details nikutafute.
OFA YANGU HAIZIDI MILIONI60 KULINGANA NA HALI YA MALI. IWE NA HATI.

Ni pm no yako kaka,mimi ni mmiliki halali,nikupe details kama utaipenda.
 
Mwenye nyumba wangu anauza nyumba yake nyingine hapa Kibaha mjini opposite west gate schools. dakika 90 kwenda mbezi Luis, nauli elf moja.

bei milioni ishirini tu

simu:0713-039875 kwa picha zaidi
 
Mwenye nyumba wangu anauza nyumba yake nyingine hapa Kibaha mjini opposite west gate schools. dakika 90 kwenda mbezi Luis, nauli elf moja.

bei milioni ishirini tu

simu:0713-039875 kwa picha zaidi

Ukishaona story zimechanganywa ,basi jua huko mbeleni mambo yanaweza kubadilika

Just kumix stories tu inatosha kuquestion uaminifu wa mtu

Hii nyumba ya kwenu ya urithi,ya mama mwenye nyumba wako,etc etc

Screenshot_2018-05-28-10-38-21.png
 
Muda si mrefu tukikupa namba zetu. Tutaanza kupokea meseji za mjukuu wangu yule mganga wa kuongeza mvuto kwenye biashara na mapenzi amerudi kutoka Congo.
Au hizi.
MJUKUU WANGU SANGA MUDA WA KUBADILISHA NDAGU UMEFIKA UJE KABRA YA SIKU 7 ALAKA UJE NA ILECHUPA YA JINI NI MIMI MUZEE WAPEMBE WA SUMBA WANGA.
Washenzi sana nyie. Sijui tcra wameloweka pumbu zao tu pale ofisini.
Namba za halotel hizi
Dah mkuu hao wanasumbua sana yani washikwe tu tuone hizo ndangu zao
 
Kama title ilivo apo juu.

Naileta jukwaa Ili kwa kuwa hapa jf mimi ni mdau mkubwa wa jukwaa Ili zaidi ya majukwaa mengine yote.

Kwa wale wote waliohamia mikoani kama dodoma ivo kuhitaji kuachia Nyumba walikotoka (DSM)

Nahitaji kupata Nyumba yenye hati kwa kuwa tayari nishaumizwa na wajanja wa mjini.
Nyumba iwe DSM, muuzaji asiwe dalali yani awe mnufaika wa pesa ya mauzo /mmiliki. Iwe kwenye maeneo yanayofikika kwa gari. Sehemu yoyote DSM pasiwe kigamboni. Iwe inafaa kwa kuishi, kama haijaisha ila iko chini ya OFA yangu pia inazungumzika.

Sharti kuu iwe na hati. NITUMIE pm number zako na details nikutafute.
OFA YANGU HAIZIDI MILIONI60 KULINGANA NA HALI YA MALI. IWE NA HATI.
Kwa mahitaji ya huduma ya kuchimba. Kisima popote ulipo dar es salam na ushauri kuhusu kisima tuwasiliane 0688525288 / 0653677815
 
Nyakasangwe ndo wap mkuu???? Namaanisha Tegeta up m Mgeni mkuu
Kipo karibu na NuruNjema pre and primary school... Hapohapo karibu. Kuna njia tatu ambazo huwa nazitumia kwenda... Kuna njia ya kule Wazo Hill... Hii siipendi kwani ni ndefu unzunguuuka. Kuna ya kupitia hapa Boko Chama... Ukiwa unatokea town unakatiza kushoto then unaelekea hapo Nyakasangwe. Kwa bodaboda ni 2000 nauli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom