Natafuta banda au nyumba ya kununua

Natafuta banda au nyumba ya kununua

ndo upande gani huo? kina hati ?
Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa... Soon zitatoka! Kwahiyo kwa sasa kina document za serikali za mitaa. Kimeshapimwa na bicon zimewekwa... Ila hati tunasubiri muda wowote tunakabidhiwa.

Ukiwa hapa boko chama... Nauli ni 2000 kwa bodaboda kwenda hapo Nyakasangwe
 
Mkuu ikizidi 60 sitaweza budget yangu iko limited.
zipo nyumba nzuri na mpya ni mwendo wa dakika kumi kutoka kariakoo mpaka nyumba ilipo ina vyumba saba na frame tatu za biashara
0674673925
0755438225
IMG_20180815_121910.jpeg
 
Mkuu nicheki nyumba ipo imekamilika kabisa kwa 40m ipo mbagala sabasaba mwanamtoti kama upo serious nicheki kwa 0688501810
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom