Natafuta back cover ya nokia lumia 920

Natafuta back cover ya nokia lumia 920

wicalumtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
329
Reaction score
113
Msaada naombeni mnielekeze wap naweza pata back cover ambayo ni housing katika lumia 920.

Pamoja na sensor screen ya juu kwa dar.
 
lumia 920 si unibody? sidhani kama utazikuta madukani sababu simu za unibody huwa zina tabu sana kubadilisha body yake kwanini usiwasiliane na midcom wenyewe?
 
ahaa, asante mkuu embu niwatafute ingawa nipo iringa ,ningekuwa dar ingekuwa rahis
 
Back
Top Bottom