Natafuta avatar

Baba Mtu

JF-Expert Member
Aug 28, 2008
870
168
Mwenye avatar nzur naomba anipe.
Nataka avatar ambayo haitamkwaza member au asiye member wa jf.
Nataka avatar ambayo haitahamsha hisia za aina yoyote.
Ukiwa nayo niwekee hapa au ntumie kwa pm.
 
avata.jpg

hii vipi mkuu itakufaa kama itakufaa usisahau ku clik kitufe cha like
 
Asanteni wadau kwa mwitikio mzuri, na wala wsichoke kunitumia hizo avatar.
Zikiwa nyingi, kiasi ya kama 20 hivi, ntachagua kumi na kuzishindanisha, itakayoibuka mshindi ndio itakuwa avatar yangu.
 
Codex_Gigas.jpg
Na Avatar nayo unachaguliwa na mtu?.....daaaa!
Basi tumia hiyo, ni ilustration kutoka codex gigas
 
Mwenye avatar nzur naomba anipe.
Nataka avatar ambayo haitamkwaza member au asiye member wa jf.
Nataka avatar ambayo haitahamsha hisia za aina yoyote.
Ukiwa nayo niwekee hapa au ntumie kwa pm.

hiii kazi ni ya google, wewe andika aina ya avater unayoitaka, kama ni ya birds, ama wild animals, au chochote kile then fanya uchaguzi na selection kadri uwezavyo, hata multiple choice inaruhusiwa
 
hiii kazi ni ya google, wewe andika aina ya avater unayoitaka, kama ni ya birds, ama wild animals, au chochote kile then fanya uchaguzi na selection kadri uwezavyo, hata multiple choice inaruhusiwa

Dogo nashukuru kwa ushauri ulionipa. Nilitembelea google na nikapata bendera ya tanzania na kuitumia kama avatar.
 
Dogo nashukuru kwa ushauri ulionipa. Nilitembelea google na nikapata bendera ya tanzania na kuitumia kama avatar.
naona dharau zimeanza kutawala, ndio maana hutoka upate, na next time uki search utapata bendera ya cckillers
 
jamani endeleeni kutumia avater, ili niongeze siku za kuishi kwa kucheka.
 
Power G upo juu, kitu kimetulia.

U make ma day..... Teheteheteheteheteheteheteheteh......:spy:
 
Back
Top Bottom