mgeniwadunia
Member
- Aug 7, 2008
- 37
- 15
WanaJF:
Natarajia kujenga nyumba za kukodisha (2-3 bedroom flats) mwaka ujao. Ninatafuta architect anisaidie na uchoraji, na materials analyst anisaidie na bajeti.
Naomba mnisaidie na contacts Dar.
Thanks in advance.