Natafuta ajira, nina diploma ya Human Resources and Management

Natafuta ajira, nina diploma ya Human Resources and Management

Mkuu pia usiache kucheck interview za mikoani omba sana mikoani kuliko dar..... dar watu wengi wanaquality nzuri tu ila wanakosa kazi sababu wapo watu tofauti hadi wa nje kama Kenya, Uganda na majuu nao wapo .... Ila mikoani kuna kuwaga na nafasi muda mwingine..... Mungu akupiganie

Sent using Jamii Forums mobile app
asante mkuu kwa ushauri wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom