Natafuta ajira, nina diploma ya Human Resources and Management

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,877
Reaction score
10,214
Habari wakuu,

Leo nimejitokeza kwenu kwa kuhitaji msaada wa ajira,level yangu ya elimu ni diploma ya human resource management(HRM). Japo nimesomea HR, ila ninaweza kufanya kazi yoyote ya halali.

Ni matumaini yangu kuwa yoyote mwenye uwezo wa kunisaidia ambae atapitia thread hii kwani nipo natafuta ajira kwa muda wa miaka 3 mfululizo pasipokupata hiyo inatokana na kukosa mtu wa kunishika mkono hivyo kuishia kufanya interview nyingi lakini mwisho wa siku ninakosa japo nimemaliza chuo na credits nzuri.

Kwa yeyote atakayeguswa naomba awasiliane na mimi kupitia no zifuatazo
0659756647

Ninapatikana Ilala jijini Dar

Nimeambatanisha na baadhi ya nakala za vyeti vyangu hapo chini,kama kutakuwa na swali lolote au maulizo yoyote nipo kwa ajili ya kujibu kwani kila kitu ntakuweka wazi iwe hapa au hata ukinipigia.

Ni matumaini yangu kuwa sitakuangusha endapo kama utanisaidia kupata au kunipa ajira

shukrani.

IMG_5658.JPG
IMG_5658.JPG
 
Tulime tu ki ukweli ajir ni chache sana siku hizi
 
Mwana toa vyeti hivyo hapo mtu akividowload kisha akiprint kwa rangi vinatoka km vilivyo
 
Na ukija kupata kazi utuletee mrejesho
 
Komaa mkuu ipo siku utafanikiwa, hii situation naielewa vzr especially kwa hii awamu, nami nimehitimu tangu 2016 nilisota sana kwakweli bt namshukuru Mungu niligeukia upande wa ujasiriamali mpk sasa kitu kinachoitwa ajira sitaki ata kukisikia masikion mwangu.

Suala la ajira kwa sasa ni zaidi ya janga so kimsingi ningekushauri ujaribu kuangalia plan b
 
Mkuu naomba niruhusu nikucheck PM tubadilishane mawazo...au nikucheck kule conference?
 
Komaa mkuu ipo siku utafanikiwa, hii situation naielewa vzr especially kwa hii awamu, nami nimehitimu tangu 2016 nilisota sana kwakweli bt namshukuru Mungu niligeukia upande wa ujasiriamali mpk sasa kitu kinachoitwa ajira sitaki ata kukisikia masikion mwangu.

Suala la ajira kwa sasa ni zaidi ya janga so kimsingi ningekushauri ujaribu kuangalia plan b

nashukuru mkuu
 
Back
Top Bottom