Natafuta ajira, nina diploma ya Human Resources and Management

Natafuta ajira, nina diploma ya Human Resources and Management

Izo story za ajira potezeeni kabisa mtaishia kujiua bure mrudie alikusomesha iyo miaka 3 mwambie akuongee tena ufadhili pesa ya mwaka mmoja wa masomo sio chini ya 1m uanze kupambana km ni mitumba ilala matunda mabibo wenzio tuliachana na ayo mambo kabisa na sasaiv tuna amani yaani sahau km ulisoma ili uajiriwe
 
nimekuelewa mkuu
 
Nje tu ya taaluma,angalia unakipaji gani kinachoweza kukuingizia salio.
 
Toa hizo nyaraka ni mali ya serikali pia ni kosa kisheria kuviexpose.
 
Daah mkuu umeharibu , hakukua na ulazima wa wewe kuanika vyeti vyako hapo
 
bado sijafanikiwa kupata wakuu,hivyo mwenye msaada asisite kunisaidia
 
bado sijafanikiwa kupata wakuu,hivyo mwenye msaada asisite kunisaidia
Wewe jamaa mbishi sana hata utaweza kweli kufata maelezo ya Ofisi na utaweza kutunza Siri za ofisi kama tu una expose taarifa zako uchi hivyo,umeambiwa JF si sehemu salama kama unavyohisi hayo maelezo yalitosha kukutamburisha ni nani mkuu na kama mtu anakuhitaji wala haitaji hayo makaratasi anahitaji ni output gani utaitoa kulingana na hayo Makaratasi toa hayo mavyeti wenda labda unaonyesha G.P.A yako ambayo bado haina maana kama huna Experience alafu unasema ni mwepesi kufundishika unahisi ni kweli una hiyo sifa au utaweza kuzingatia maagizo ya Boss wako wewe unakera asee.

Mbona unaiabisha T.I.A asee nayoijua mimi product za Kina MR.BOMA na Wengineo.
 
Back
Top Bottom