Habari wakuu,
Leo nimejitokeza kwenu kwa kuhitaji msaada wa ajira,level yangu ya elimu ni diploma ya human resource management(HRM). Japo nimesomea HR, ila ninaweza kufanya kazi yoyote ya halali.
Ni matumaini yangu kuwa yoyote mwenye uwezo wa kunisaidia ambae atapitia thread hii kwani nipo natafuta ajira kwa muda wa miaka 3 mfululizo pasipokupata hiyo inatokana na kukosa mtu wa kunishika mkono hivyo kuishia kufanya interview nyingi lakini mwisho wa siku ninakosa japo nimemaliza chuo na credits nzuri.
Kwa yeyote atakayeguswa naomba awasiliane na mimi kupitia no zifuatazo
0659756647
Ninapatikana Ilala jijini Dar
Nimeambatanisha na baadhi ya nakala za vyeti vyangu hapo chini,kama kutakuwa na swali lolote au maulizo yoyote nipo kwa ajili ya kujibu kwani kila kitu ntakuweka wazi iwe hapa au hata ukinipigia.
Ni matumaini yangu kuwa sitakuangusha endapo kama utanisaidia kupata au kunipa ajira
shukrani.
View attachment 1154792View attachment 1154795