SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,182
- 1,718
Haha mkuu, kijana anataka kuwaaibisha alumni wa TIA.. punguza moto msamehe tuu
Wewe jamaa mbishi sana hata utaweza kweli kufata maelezo ya Ofisi na utaweza kutunza Siri za ofisi kama tu una expose taarifa zako uchi hivyo,umeambiwa JF si sehemu salama kama unavyohisi hayo maelezo yalitosha kukutamburisha ni nani mkuu na kama mtu anakuhitaji wala haitaji hayo makaratasi anahitaji ni output gani utaitoa kulingana na hayo Makaratasi toa hayo mavyeti wenda labda unaonyesha G.P.A yako ambayo bado haina maana kama huna Experience alafu unasema ni mwepesi kufundishika unahisi ni kweli una hiyo sifa au utaweza kuzingatia maagizo ya Boss wako wewe unakera asee.
Mbona unaiabisha T.I.A asee nayoijua mimi product za Kina MR.BOMA na Wengineo.