Natafuta ajira nimesoma Sociology

Natafuta ajira nimesoma Sociology

Mimi ni Mtanzania, jinsia ke, nimehitimu chuo kikuu mwaka 2016 fani ya elimu ya jamii (Bachelor of Arts in Sociology).

Nina tafuta ajira kulingana na fani yangu, nina uzoefu wa data collection, kufanya kazi na jamii mbali mbali, kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa, nina ujuzi wa matumizi ya Computer, kutumia kishikwambi kukusanya taarifa, kutoa elimu katika jamii.

Napatikana mkoa wa Kilimanjaro kwa sasa
Naomba kuwasilisha
🙏🏻
Nitafute Whatsapp kwa namba hizi
0757 148458
Nina group ambalo daily na post matangazo ya kazi .
 
Mimi ni Mtanzania, jinsia ke, nimehitimu chuo kikuu mwaka 2016 fani ya elimu ya jamii (Bachelor of Arts in Sociology).

Nina tafuta ajira kulingana na fani yangu, nina uzoefu wa data collection, kufanya kazi na jamii mbali mbali, kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa, nina ujuzi wa matumizi ya Computer, kutumia kishikwambi kukusanya taarifa, kutoa elimu katika jamii.

Napatikana mkoa wa Kilimanjaro kwa sasa
Naomba kuwasilisha
🙏🏻
Mkuu njoo mtaani tukopeshe simu sa
Mkopo
 
Hongera kwa mapambano mkuu. Sina connection yoyote ya kazi ila nimechokoza tu mada kwamba kwanini tusifikirie pia alternative source of income kama biashara ndogo ndogo au may be uchuuzi wa bidhaa za kilimo n.k. Naona kama miaka imesogea kidogo. What do you think?​

Nafanya biashara ndiyo mkuu, ila inafika mahali una mapito unayapitia ktk hizi biashara unasema ungekuwa na backup angalau ungepata nafuu, mfano mimi ni mfugaji toka 2017 nilikuwa Dar ila sababu ya changamoto za family nikaja Moshi nafuga kuku wakienyeji, wa kisasa na wa chotara, soko ni changamoto mpaka unaona nyota nyota mkuu! May be ningepata mwongozo ningeweza kufanikiwa zaidi
 
Tuliograduate miaka hiyo ndiyo tulikutana na ile amri ya marehemu Magufuli akiwa amelenga kusafisha wenye vyeti feki n.k.

Ikafanya wengi tujiingize kwenye biashara au ajira za sekta ya private.

Nimejibu hili kwakua naona wadau wanashangaa mwaka aliomaliza mleta uzi halafu anaomba msaada wa ajira.

Kuna mtu anasema ukasome master yake. Don't. Master bila experience ya kazini ni uajiriwe kama lecturer ama labda researcher. Ajira zingine zitahitaji uzoefu wa angalau miaka 10 ili uajiriwe kama principal officer.

Kwa ninavyojua mtu wa sociology anaajirika kama HR pia, hizi banks mfano TCB, NMB hua wanaajiri banking officer kwa degree yoyote ila upite zile aptitude tests.

Kama siyo hivyo uwe na connections ili uingie private.
 
Shukrani sana mkuu umeelewa tulikotoka na mpaka sasa tulipo!
 
Back
Top Bottom