Natafuta ajira, nimesoma BSc in Environmental Engineering

Natafuta ajira, nimesoma BSc in Environmental Engineering

Joined
Aug 4, 2018
Posts
6
Reaction score
1
Wakuuu mm ni muhitumu ya elimu ya juu katika kozi tajwa hapo juu, nlikua natafuta mahali popote pakujishikiza kufanya kazi yyte ile halali angalau niwe busy kuliko kukaa tu mtaani.

Kwa yeyote aliena connection ya ajira au kibarua chochote nipp tayri.

0765305883
 
Kila la kheri, ngoja waje kukupa muongozo...
 
Back
Top Bottom