Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,055
- 781
Natafuta hiyo software mwenye nayo ani PM nitanunua:sitaki DVD ya kuchoma baada ya kudownload kutoka net ,nataka original!.(nina sababu).
asante
asante
Si ununue tu kwao wao? Fanya hivi google alafu ukipata site yao watu wa Adobe utakuta mahali wanakuonyesha bei yao kisha nunua kwa mtandao. Simpo kiasi hicho tu.
Kama unataka za kuchakachua sema tu pia mi ninayo na inapiga mzigo kama kawa. Utachangia vipesa kidogo na inafanya kazi kama ile original tu. Shida kwako ni nini?