TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
Habari wa JF, bila shaka mu buheri wa afya natafuta "Business Partner" ili tufungue kiwanda kidogo cha Waste Recycling (Kuchakata taka) na kuzalisha bidhaa mbalimbali zitokanazo na taka zilizochakatwa kama karatasi, mbolea nk .
"Business Partiner" awe na angalau kuanzia 10 mpaka 200 million. Pia awe na uzoefu na masuala ya biashara au awe ambaye tayari ashawahi jihusisha na masuala ya biashara.
Mpaka sasa hivi project nishaianza ila uzalishaji ni mdogo kutokana na vitendea kazi vinavyoitajika, vilivyopo vinanifanya nizalishe just 2 tonnes per week ambayo ni uzalishaji mdogo sana kutokana na uhitaji wa soko.
Asanteni Sana.