Natafura Fundiwa Pikipiki Kubwa

Dec 1, 2010
68
4
Natafuta fundi wa Pikipiki aina ya Honda Sabre VF 750. Tangu nimeileta toka Japan sikuwahi kuitumia. Kama kuna mtu yeyote aliye na pikipiki ya aina hii naomba tuwasiliane ili niulizie fundi wakeni yupi.
 
Back
Top Bottom