wapendwa yeyote anayeweza kupata dash board ya corona T170 ambayo bado iko kwenye hali nzuri au mpya ninahitaji, no. 0769841918
wapendwa yeyote anayeweza kupata dash board ya corona T170 ambayo bado iko kwenye hali nzuri au mpya ninahitaji, no. 0769841918
ndio mkuu nimekosea, ila nimegundua kitu, kuwa viungo vyote vinaweza kufanya kazi lakini lazima macho na ubongo vipewe nafasi ya kuhakiki. nataka kusema niliviamini vidole wakati nafanya tiping kumbe vingenikosesha
mkuu, naona hatanikichanganya herufi kubwa na nDogo utaniuliza, hesabu na kuandika imla haviendani kaka, usishindwe kushangaa wewe jenga picha toa majibu.