natafu karanga za kununu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafu karanga za kununu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ruhazwe JR, Nov 14, 2011.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  habarini za majukunu wana jf
  natafuta karanga za kununua,ziwe kavu na ikiwezekana anipe bei kwa kila kilo naitaji tani zaidi ya 60
   
 2. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Unapatikana mkoa gani?
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mkuu tuambiane kuhusu soko.
  nadhani kwa sasa sehemu nyingi hapa nchini ndo wanaanza kulima. so kama vipi tujuzane ili tujipange.
  1. soko lipo wapi?
  2. tupe contacts au ni PM maana nilipo mimi naweza lima na kukusanya kwa wakulima wengine japo tani 5.
  3. natanguliza shukrani
   
 4. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kama una mtu kahama mwambie akuulizie, zipo za kutosha sana
   
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  napatikana dsm
   
Loading...