snipercorp
Senior Member
- Dec 20, 2012
- 174
- 41
Habari wanajamvi!! Nina rotweiler jike nlikuwa natafta mtu mwenye rotweiler dume ile niweze kumpandisha huyu wa kwangu!!
Nimempa chanjo zote!!
Nimempa chanjo zote!!
Uko pande gani nikuelekeze mkuuHabari wanajamvi!! Nina rotweiler jike nlikuwa natafta mtu mwenye rotweiler dume ile niweze kumpandisha huyu wa kwangu!!
Nimempa chanjo zote!!
Uko pande gani nikuelekeze mkuu
Nitumie no yako ya cm inbox nikuunge na jamaa yangu. Mimi nafuga German shepherdNipo tabata