Natafta muoaji wa ukweli

Natafta muoaji wa ukweli

Huyu anatafta mtu wa kufa nae hana jipya then wala hajitambui anataka nin?
 
Utafiti wangu crude nilioufanya siku za hivi karibuni pia umenionyesha kuwa mbali na factors nyingi sana zilizopo zinazochzngia wasichana wengi wa siku za leo wasiolewe, lakini pia kuna makundi ya watu waliooa/walioolewa ambao wanafanya jitihada za makusudi za kuwawekea kauzibe baadhi ya wasichana ili wasiolewe. Sababu ni wivu? bado sijajau vizuri. Hii kitu ipo sana, believe me!Kila la kheri mama yangu

tupo wangapi
 
Nimefurahi kusikia hivyo, hata mimi nilikuwa natafuta mwenye nia ya dhati... weka kapicha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom